top of page

AMAREY ni nini?
Ni timu ya vijana wabunifu, wenye taaluma katika 'Engineering' mbalimbali na 'Enterpreneurship'
tunaoamini kuwa tunaweza kutoa mchango katika kubadili kesho yako na ya kampuni yako.
​
Tunaamini kuwa matumizi sahihi ya TEKNOLOJIA yanaweza kusaidia kampuni ya aina yoyote kupiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali.
Huchukua mirejesho mbalimbali ili kuendana na mabadiliko.
Wasiliana nasi ukutane na mwakilishi wetu wa masoko au kupata demo.

HUDUMA ZETU
AMAREY
"Uvivu wa kutumia akili, unaweza kutufanya tutumie dawa kuondoa matatizo ambayo si ya dawa hata kidogo"
Mwl. Julius K. Nyerere


bottom of page